Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 220,000X6
LOCATION KIMARA MWISHO KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UNAWEZA PITIA KIMARA KOROGWE PIA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
-------------------
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO NZURI LA KISASA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347