Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW Master Bedroom Classic For Rent
Location: KIMARA BARUTI
Distance: Dakika 12-15 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Boda 1000
PRICE: 150,000 × 6
✔️Chumba Kimoja Kikubwa
✔️Choo Kizuri Ndani
✔️Inajitegemea UMEME
✔️Maji Yanaflow Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Heater Ya Maji Moto
✔️Fenced
✔️Parking Space Available 🚘
✔️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp