Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6
LOCATION KIMARA MWISHO DK 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BAJAJI 500
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347