Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 Kutoka Kituoni Main Road
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
• SEBULE KUBWA
• CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER BEDROOM
• JIKO ZURI
• PUBLIC TOILET YA WAGENI
Apartment Zipo Kwenye Fensi PARKING IPO na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 TSh. 350,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni TSh. 15,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali NI Mwezi Mmoja
0679 956 863
0759151524
0781 418 437
0779062686