Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA BUCHA DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI IMEBAKI MOJA TU
-----
Vyimba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=×6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
---------
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















