Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






WAHI MAPEMA NDUGU WATEJA ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐ฅ ๐ฅUKAE KARIBU NA MAIN ROAD
NI CHUMBA KIKUBWA KIMOJA {SINGLE} KINAPANGISHWA KODI TSH 80,000/=ILIPWE MIEZIX6
MAHALI KILIPO KIMARA STOP OVER UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 5
SIFA ZAKE ZANDANI
KIKUBWA,KINA TAILIZ SAFI KABISA JIPSUM
MADIRISHA YA WAVU MAKUBWA YANA HEWA SAFII KABISA UPEPO MWANANA!!
CHOO CHA KUSHEA NA BAFU VISAFI KABISA
MAJI DAWASA YAPO
NDANI YA FENSI USALAMA WAKUTOSHA MNO!!
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1
What saapp number 0689-547258