Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 120,000 x 5 KIMARA MWISHO MASTER BEDROOM & JIKO MPYAAA ZINAPANGISHWA ZIPO ( 6 . ) TU NDANI YA COMPAUND MOJA NA ZIMEBAKI MBILI TU
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA NA JIKO LA KISASA NA CHOO CHA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME SUBMETER
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOxA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















