Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 80,000 x 6 ) KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA KINAPANGISHWA NDANI YA FENCE
UMBALI WA KILOMETA (2,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE MLANGO
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA NA CHOO CHA NDANI KWA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME SUBMETER
MAJI DAWASA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258