Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#Inapangishwa KIMARA KOROGWE
📍Kodi Tsh 150,000/= *6
_______
___
• Chumba Kimoja Master Kikubwa
• Sehemu ya Jiko
* Umeme Sub-Meter yake
* Maji yanflow ndani
* Ndani Ya Fensi
* Parking kubwa
📌 nyumba ni mpya mafundi wapo kazini
#Iko Umbali wa 1km Kutoka Mwendokasi, usafili bajaji 500 ukishuka dk 2
#Barabara nzuri ya Lami
___________
#Malipo ya Dalali Tsh 150,000/=
#Kupelekwa Kuona Tsh 15,000/=
_____
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030