Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


KUNA MTEJA WANGU ANA TOKA HAPA INAITAJIKA MIEZI 3
________
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1, 5
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMME LIPIYA NYUMBA
_________________________________________
SIFA YA NYUMBA
nyumba mpya bado
Ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom
Sebule kubwa sana na jiko zuri saana ripo ndani
Anajitegemeya umeme NA maji
Una pata maji moto na baridi
Mazingira salama sana kwa watoto
Hii nyumba ipo ndani ya fensi
_________________________________________
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MARIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki 4 tuu/=
(400,000)
X 4
Kwa maelezo zaidi Piga simu
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087