Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW STAND ALONE FOR RENT
Location: KIMARA BONYOKWA
NI NYUMBA NZURI KABISA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA BONYOKWA
UMBALI KUTOKA KITUO CHA DALADALA NI DK.6 KUTEMBEA KWA MIGUU
KODI 500,000 × 6
📍SEBULE KUBWA SANA
📍VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
📍CHUMBA KIMOJA MASTER
📍JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
📍PUBLIC TOILET
📍STORE KUBWA
📍TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
📍NDANI YA FENCE
📍PARKING KUBWA
📍FULL PAVING BLOCKS 🚫
NYUMBA INAJITEGEMEA KILA KITU NDANI YA FENCE YA PEKEE YAKE UKIWEMO UMEME Na MAJI
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI MASAA YOTE PIA KUNA RESERVE TANK
CHANGAMKIA FURSA HII NDUGU MTEJA 🏃♀️🏃♂️💰✍️
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA