Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara korongwe kwa mkua km2
Kodi 250000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space kubwa
Angalizo nyumba hii itakuwa wazi tarehe 30/10/2025
Kuja kuona nyumba na kulipia ni rukusa
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128