Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 120,000 x 3 ) KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER MPYAAA INAPANGISHWA NDANI YA FENCE
UMBALI WA KILOMETA (2,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANAI NA CHOO CHA NDANI KWA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME SUBMETER
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENCE ISIYOLAZA GARI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE G 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258



















