Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM NA JIKO ZURI FOR RENT MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI WA BAJAJ UPO 24HRS
BEI NI 130,000/=×6
[BILA MIEZI SITA USIJE NDUGU MTEJA]
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
NA JIKO ZURI
UMEME LUKU YAKO
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
NOTE: SERVICE CHARGE NI 15,000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300