Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







🇹🇿House For Rent #Stand Alone
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
Location: MBEZI MWISHO
Ipo Nyuma Ya Stand Ya Mkoa
Distance: Dakika 15 Kwa Kutembea Tu 🚶
KODI 700,000 × 6
Maongezi Yapo Kidogo Boss 💰✍️
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Dinning Room
✅️Vyumba V3 Vikubwa Vya Kulala
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Jiko Kubwa la Kisasa
Pia lipo Jiko la NJE
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Store Kubwa
✅️Full A/c
✅️Garden Nzuri
✅️Full Paving Blocks 🚫
✅️Parking Space Available 🚘
✅️Good Environment 👍
📌NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA 🚗
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp