Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NA JIKO NZURI FOR RENT MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI WA BAJAJ UPO 24HRS 
BEI NI 130,000/=×6
[BILA MIEZI SITA USIJE NDUGU MTEJA]
SIFA ZAKE 
NI CHUMBA KIMOJA MASTER 
NA JIKO NZURI MPYA MPYA 
UMEME LUKU YAKO 
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS 
FENSI NA PARKING NI KUBWA 
MASTER HII ITAKUWA WAZI TAREHE 17/4/2025 KUONA NDANI CHANGAMOTO KWA SASA ILA KUONA MAZINGIRA YA NJEE RUKSA NA KULIPIA RUKSA
NOTE: SERVICE CHARGE NI 15,000/=
0713661530_0783661530




















