Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


CHUMBA SEBULE MASTER NA JIKO ZURI 
LOCATION:
MBEZI MWISHO / MAGUFULI STEND 
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 10 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
SEBULE KUBWA 
CHUMBA KIMOJA MASTER 
JIKO ZURI 
NYUMBA MPYA 
UMEME SUBMITA YAKE 
MAJI YANAFLOW CHOONI, JIKONI 
HAPA KUNA AINA TATU ZA BEI
KUNDI A:
KODI 160,000 X 4 MPAKA 6
KUNDI B:
KODI 170,000 X 4 MPAKA 6
KUNDI C:
KODI 180,000 X 4 MPAKA 6
TOFAUTI YAKE ZIMEPISHANA UKUBWA KIASI KIDOGO
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA 
PIGA CM 06 748 60193



















