Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#CHUMBA KIMOJA MASTAR BEDROOM INAPANGISHWA IPO #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
#BAJAJI 700 UKISHUKA DK 2 BODA BUKU MPAKA GETINI
INATILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
MAJI YANATOKA CHOONI
UMEME KWASS SHA 3
KODI 100 X 4
LAKI MOJA MIEZI 4 NAKUENDELEA
#KUONA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747