Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


*Date Listed*22/11/2025
-Nyumba Nzuri Ya Kibachela Inapangishwa
- Mahali Ilipo:Mbezi Beach Jogoo(Air Bnb Allowed)
-1 Bedroom Master
-Seating Room
-Kitchen
-Umeme Unajitegemea
-Dawasco Water 24 Hours
-Fenced
-Car Parking Space Available
▪️Service Charge Ni 30,000/=(Payable Once)
▪️Bila Ya Kusahau Kodi Ya Mwezi Mmoja Wa@dalali
◾️Price 500,000/=
◾️Term:4 Months...0713 636000


















