Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mikocheni, Dar Es Salaam
*Date Listed*17/01/2025
-Chumba Kikali Kinapangishwa
- Mahali Kilipo:Mikocheni Shoppers Plaza
-1 Bedroom Master
-Dawasco Water 24 Hours
- Fenced
-Car Parking
▪️Service Charge Ni 30,000/=(Payable Once)
▪️Bila Ya Kusahau Kodi Ya Mwezi Mmoja Wa dalali
◾️Price 250,000/=
◾️Term:6 Months
▪︎ 0787 939 898