Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Moshono, Arusha


NYUMBA INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
Ina Chumba Kimoja chakulala Master
Ina Sebule
Ina jiko
Ina Public Toilet
Ina Heater System
Wapangaji watatu tuu Kwenye Compound
Inajitegemea umeme na Maji
Bei 300,000 kwa mwezi
.
Contacts- 0683545452


















