Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Olasiti, Arusha


NYUMBA MPYAA ZINAPANGISHWA OLASITI ARUSHA
HAPA KUNA
CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
INA SEBULE
INA JIKO
INA CHOO NDANI
UMEME UNAJITEGEMEA
INA PARKING
BEI 200,000/=KWA MWEZ
KODI ILIPWE MIEZI MITATU
ZIPO TATU ZOTE ZIPO WAZI
PIA KUNA
SINGLE SELF
CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
INA CHOO NDANI
INA JIKO
BEI 150,000 KWA MWEZ
ZIPO WAZI TATU
CALL 0758105801