Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Pasua, Kilimanjaro


NYUMBA MPYA INAPANGISHWA
LOCATION PASUA
KODI 200000*3 PLUS MWEZI MMOJA WA DALALI
INA SEBULE JIKO CHUMBA KIMOJA CHA KULALA UMEME WAKO MWENYEWE MAJI MNASHARE ZIPO NDANI YA GETI NA IMEZUNGUSHIWA UKUTA CAR PARKING IPO KARIBUNI
luluz_kitchen_moshi