Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA (MASTER), SEBULE NA JIKO LENYA KABATI, FENI SEBULENI NA CHUMBANI.
UMEME MITA YAKUJITEGEMEA NA MITA YA MAJI YAKUJITEGEMEA MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24.
KODI 160000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.



















