Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Master bedroom, Sebule na Jiko 450k🏠
Specifications:
• Nyumba ipo Maeneo ya Sinza📍
• Chumba Kimoja Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Nyumba ipo Fenced
• Ipo karibu na Main Road (dk 5 kutembea)
Payment Conditions:
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 450k
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲