Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 450k
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Ubungo Kibo
• Chumba Kimoja Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
• Full AC
• Ipo Karbu Na Barabara
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 450k
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (3)
• Hela Ya Tahadhari mwezi mmoja 450k
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• O677370515 Normal/Whatsapp


















