Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA KABISA INAPANGISWA KODI 250,000X12 BAADA YA HAPO UTAANZA KULIPIA MIEZI 6 OR 3
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU JUU KM 2 USAFIRI BAJAJI 700 INAKUSHUSHIA MLANGONI UNAWEZA PITIA KIMARA KOROGWE PIA BAJAJI ZIPO
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA
#SEBULE KUBWA
#JIKO LINAWEKWA KABATI
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO WA SOLAR NA TANESCO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
NB: UKILIPIA UNASUBIRIA WK 1 UNAINGIA ITAKUWA TAYARI WAI NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347