Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE DAKIKA 7-8 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KZR NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW CHOONI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347