Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO
Location: UBUNGO EXTERNAL MAKUBURI
Distance: Kutembea Kwa Mguu Dakika 12 Tu Kutoka Barabarani
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM
✔️JIKO LAKE NDANI
Apartment Zipo Ndani Ya Eneo Moja Fence Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani, UMEME LUKU SUB-METER METER YAKO
KODI 135,000 × 6
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp