Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU KM 1 USAFIRI BAJAJI 500 BARABARA NI LAMI MPAKA MLANGONI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347