Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 200000X6 
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU KM 1 USAFIRI BAJAJI 500
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA 
#AINA SEBULE 
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO 
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE HAKUNA PEVING BLOCK ZINAWEKWA 🚫 
NB: KUINGIA TAREHE 17/5/2025 KUONA KULIPIA RUKXA 
MAWASILIANO :: 0672 673363 
WSP:: 0672 673363




















