Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


#CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM KIKUBWA - #UBUNGO_MAKOKA_KWA_MKUA 130,000 KWA MWEZI KODI MIEZI 6
##############
Tsh. 130,000/= Nyumba ipo ubungo makoka kwa mkua
##############
Ni chumba kimoja cha kulala chenye choo ndani Master Bedroom Kikubwa
###############
#LUKU_Submeter
###############
#Maji_yapo_yanaflow_ndani
###############
#chumba kipo ndani ya fensi na parking ipo kubwa sana
###############
#Kodi 130,000/= kwa mwezi na malipo ni miezi 6 na mwezi mmoja wa Dalali ambwene Ubungo
###############
#Usafiri bajaj 700 Ukishuka unapiga teke mlango
###############
#Service_charge ya kuonyeshwa kutafutiwa Nyumba mpaka unapata ni 15000#
###############
Dalali ambwene ubungo
#0712-348-316 whatsApp
#0769-680-796
##############