Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


🌟 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA – BUNJU B 🌟
🏡 Mahali: Bunju B - Karibu na Main Road
📐 Ukubwa: 1200 Sqm
🏷️ Bei: Milioni 100 (Maongezi yapo)
💡 Huduma Zote Zipo:
✔️ Maji
✔️ Umeme
🏠 Muundo wa Nyumba Ndogo (Bicota):
• Chumba kimoja
• Sebule
📄 Hati: Mauziano ya Serikali ya Mtaa
💰 Service Charge: TZS 20,000/= tu
📞 WASILIANA NASI LEO:
📲 0687 800 788
📲 0713 958 395