Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA KWA NIABA YA BANK
NYUMBA IPO MADALE MBOPO SHULE YA MSINGI
NYUMBA IPO MBOPO JUU KWA MZEE MANYAMA
NYUMBA INA VYUMBA v3 SEBULE KUBWAA JIKO DAINING CHUMBA MASTER
NYUMBA INA UKUBWA WA KIWANJA SQM 1000
BEI MIL 40
NJE IPO BOYCOTER YENYE CHUMBA 1
UMBALI KUTOKA BARABARA KUU MITER 300
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
KARIBUNI SANA WATEJA