Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Nzuguni, Dodoma


GHOROFA YA KUMALIZIA INAUZWA NZUGUNI βAβ DODOMA.
π13km kutoka mjini, mita 100 kutoka lami ya Nzuguni.
πGround floor kuna sitting room, dinning, jiko, stoo, public toilet na chumba kimoja. First floor kuna two master bedrooms.
πKiwanja kina ukubwa wa 400sqm, Kina document za upimaji na Mkataba wa mauziano.
π Inahitaji finishing kubwa. Nyumba Ina fensi tayari.
πBei ni milioni 58. Tu
Site fee 20,000/=
π0787037986