Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Tabata, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Tabata Kinyerezi, Kibaga*
*Distance* Kutoka main road ni 500 Meters
-Nyumba ina vyumba v3 vya kulala, Chumba kimoja master, sitting room, dining room, kitchen na public toilet.
-Plot size Sqmtrs 400
-Document: Surveyed
*Bei shilingi milioni 165 maongezi yapo*
#0710614924
#0688653940__