Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA;
#CHUMBA_MASTA_SEBULE_NA_JIKO
Location :: Goba rastaza dakika 3 kutok lami
Bei :: 450,000 Kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
Chumba kimoja ambacho ni Masta
Sebule
Jiko
Fence
Feni
Umeme wako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
#0687484089