Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA;
#CHUMBA_MASTA_SEBULE_NA_JIKO
💧Location :: GOBA njia ya makongo dakika 1 kutok lami
💧Bei :: 450,000 Kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba kimoja ambacho ni Masta
📍Sebule
📍Jiko
📍Fence
📍Feni
📍Umeme wako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0780600341