Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam


Hii apartment ipo kariakoo Livingston ipo floor ya 8 lifth ipo
NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA AMBACHO NI MASTER bedroom SEBULE JIKO inapangishwa laki 5 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6 mawasiliano