Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE 100k
Chumba cha kulala kikubwa
sebule kubwa Choo ndani
Maji yanaflow chooni
Umeme shared
Kodi 100,000 Kwa mwezi × 3
PIA: kuna chumba kimoja kikubwa Choo pembeni
Kodi 50,000 Kwa mwezi × 3
Umbali KM 2 Usafiri bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
====
CONT
0683234124