Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani
<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ni apartment
✅nyumba mzuri na safi
✅nyumba Ina mazingira safi
✅nyumba mpya na ya kisasa
<> asking price 300k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> services charge 20k
🔳mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837