Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Mwisho, Dar es Salaam
๐2km Kutoka Main Road Mpaka Hapo Bajaji 1000.
#SIFAZAKE
๐นChumba Kimoja Master
๐นSebule
๐นJiko
๐นUmeme Luku yake, Maji yanaflow ndani
๐นFence & Car Parking ipo
โฆ๏ธKodi Tsh 180,000/=ร6(Miezi Sita)
โฆ๏ธMalipo ya Dalali Tsh 180,000/=
โฆ๏ธService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐