Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe, Dakika 15-18 Kutembea Kutoka Mwendokasi, Boda Boda 1000 tu
#SIFAZAKE
Chumba Kimoja Master, Sebule, Jiko.
Umeme & Maji Inajitegemea
Iko Ndani ya fensi
Zipo Apartment 2 Hapa Moja iko wazi
Kodi Tsh 300,000/=×6(Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊