Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA HIZI
ZA KISASA KABISA
ZINAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
KODI YAKE 400K X6
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM3
BODA 1000
BAJAJI 700
VYUMBA VIWILLI VYA KULALA
KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI NA JIKON
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU:: 0672 673363 // 0763 219307