Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA KOROGWE
DK 7 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 320,000/=X6
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA NDANI
INA JIKO KUBWA LA WASTANI
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
Contact๐ฒ
0713661530_0783661530