Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ#NEW #CLASSIC #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara BARUTI, Dakika 15 Kutembea Kutoka Mwendokasi, Piki Piki ni 1000 tu.
#SIFAZAKE
๐งChumba kimoja chakulala
๐งSebule
๐งJiko linafungwa Makabati
๐งChoo cha ndani
๐งUmeme LUKU yake, Maji ni ya #dawasa
๐งInafungwa AC, HEATER,Free Wi-Fi & Security Cameras
๐งFence, Parking & Paving blocks
๐ZinakuwaTayari Kuanzia Tar 30/11/2024 Kuiona na kulipia Ruksa
โฆ๏ธKodi Tsh 400,000/=ร6( Miezi Sita)
โฆ๏ธMalipo ya Dalali Tsh 400,000/=
โฆ๏ธService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐