Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT CLASSIC FOR RENT
ZIPO 3 KWENYE FENCE
KODI 250,000 × 6
>SEBULE KUBWA
>CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
>JIKO KUBWA ZURI
>UMEME METER YAKO
>MAJI METER YAKO
>YANAFLOW JIKONI Na CHOONI 24HRS
>RESERVE TANK
Location: KIMARA KOROGWE
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
Distance: KM 2 TU Usafiri 24Hours Bajaji 700
USAFI BAJAJI 500 DARADARA ZA K/KOO ZIPO
UKISHUKA TU UNATEMBEA DK3 KUFIKA KWENYENYUMBA
GARI UNALAZA KANISANI
NO PARKING WAI CHAPU SIO YA KUCHELEWA
TATIZO NJIA YA GARI SIO LAFIKI
NJOO ULIPIE NYUMBA NI KUBWA NA NI SAFI WAI CHAPU MAJI YANAFLOW MUDA WOTE
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp