Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







130K. 0781 418 437 pg 0679 956 863 WSP
SOMA KWA MAKINI NDG MTEJA WANGU
.
PANA MASTER NA SEBULE KUBWA 2 APA
.
KODI NI 130X6
.
NA PANA CHUMBA KIMOJA MASTER
.
KODI NI ELIFU 80X6
.
LOCATION: KIMARA BONYOKWA BAR MPYA
.
UFIKAJI
=======
UKITOKEA KIMARA MWISHO UNAFIKA
.
UKITOKEA TABATA BONYOKWA STENDI UNAFIKA
.
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOONI
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO TAA ZA KIJANJA NDAN YA FENS PARKING HAKUNA MAZINGIRA TULIVU, NYUMBA MPYA UNAZINDUA MWENYEWE
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0679 956 863
0759151524
0781 418 437