Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
140,000 X 6. 0759151524
APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 140,000/= X 6
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#HAKUNA SEBULE
#HAKUNA JIKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU WANASHEA FAMILIA 2
#PARKING
BEI NI 140,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII YA KIBACHELA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA APARTMENT HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679 956 863
0759151524
0781418437