Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


——
#APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION #KIMARA_MWISHO
#UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM 1.5 👈
#USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 7OO NA UKISHUKA DAKIKA 1 UPONDANI
#KODI NI TZS 200,000 X6 👈
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA
#JIKO LAKE ZURI LA KISASA
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
ZIPO APARTMENTS 4 TU KWENYE FENCE NA HII MOJA NDIO IKO WAZI IPONDANI YAFENSI PAKIKUBWA SANA
MAZINGIRA YAKE NI TULIVU NA USALAMA WA KUTOSHA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747